Shs 500 kuwa sarafu

Shs 500 kuwa sarafu

Hawa Jamaa wa BOT bogus kabisa
Wamekaa na wazungu wanashauriwa na wenyewe wanakubali bila kufanya utafiti

U cant come up with such a move bila kufanya research na kuona impact yake kwenye uchumi
Wanajua kweli value ya 500 kwa mtu wa kijijini?
Wao wanaona 500 haina thamani kwao wanafikiri its the same for everyone

My Take: watuletee sarafu ya Tsh. 300 kabla ya hiyo ya Tsh. 500
 
Back
Top Bottom