Shs Bilioni 1 A/C Ya CJ Malaga

Boniphace Kichonge

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2017
Posts
1,605
Reaction score
1,957
Wadau C.J David Maraga Ameiagiza Kenya Commercial Bank Iziondoe Haraka Kutoka Kwenye Akaunti Yake Fedha Kiasi Cha Shs Billion 1.

Fedha Hizo Zimekutwa Katika Akaunti Yake Iliyopo Katika Benki Hiyo Ya KCB Zikiwekwa Na Mtu Asiyejulikana.

Kenya Commercial Bank Wametoa Taarifa Kuwa Fedha Hizo Zilingizwa Kimakosa Kwenye Akaunti Hiyo Na Mfanyakazi Mmoja Wa Benki Hiyo.

Usiku Mwema
 
Ha ha ha ha... Maraga anaingia majaribuni sana kipindi hiki. Kazi kweli kweli
 
Reactions: Auz
Malaga anasimamia ukweli yupo vizuri sio yule mwingine anasema vyombo vya nje haviwezi kuchunguza kitu kilichotokea Tanzania...
 
Huyo mfanyakazi nimpatie namba yangu ili apatie kutupia mzingo.
 
Hela zangu hizo, ndiyomaana nilikuwa sizioni.

Rudisheni haraka sana na interest ya LIBOR juu.
 

Nchi ya 'Kitu kidogo'!
Wamempa ili Mahakama iruhusu Uchaguzi kesho!
 
Hizi ndo zinaitagwa fake news. Shillingi Billioni moja kwa account moja. Kshs! Hehehe!
 
Kwanza Malaga ndio nani, tulia uweke bango kwa kutumia majina ya wahusika ipasavyo.
Kingine, fahamu shilingi za Kenya bilioni moja ni hela nyingi na haziwezi kutumbukizwa kihivyo kwenye akaunti moja, au utakua unazungumzia zile pesa madafu za Bongo, ambazo bilioni moja ni hela ya mboga.
 
Zimeingizwa kimakosa , ha ha ha
 
Wakosee hapa kwa Mjina Mrefu basi waone kama ataogopa money laundry
 
Iliwekwa na Mtu asiyejulikana.....??

Iko kazi hawa watu wasiojulikana ni tatizo kila mahali..
 
huo mzigo ungetua Tanzania kwa wale maaskofu wa kanisa flani wanaomiliki Mkombozi Bank wangezila kama walivyokula za escrow,yani jaji wa kenya mtakatifu kulïko askofu wj Tanzania
 

After Magufuli afunge gazeti zenu karibu zote, naona Watanzania wameingilia FAKE NEWS.
Hio inadhihirisha upungufu wa akili.
Tuko 2017. Mtu timamu anafaa awe na uwezo wa kudifferentiate websites na habari za ukweli, na habari fake.
Shame on you.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…