Shubaka ni nini kwa English?

Shubaka ni nini kwa English?

Saracen

Senior Member
Joined
Apr 14, 2011
Posts
145
Reaction score
63
najaribu kujiuliza hivi shubaka ni nini kwa English

nadhani inaweza inaweza ikawa ni katika jamii ya samani lakini siijui ni nini
 
Peephole, porthole, shelved recess in a wall, Alcove, drawer.
 
hata kwa kiswahili mi nilikua sijui. ila nimesha jua sasa
 
Back
Top Bottom