Elections 2010 Shubash patel kuisaidia ccm track suits 300.....

urasa

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2010
Posts
434
Reaction score
2
Zoezi litakuwa kama ifuatavyo,mwana dada anaitwa anna ataenda ofisini kwa shubash patel na hapo atakutana na mtu anaitwa abou,huyo atamkabidhi huo mzigo kati ya leo tar 25 au kesho tar 26 oct,amkeni watz ccm ni wezi na wnawakumbatia wezi
 
wanajisumbua tu, namshauri aanze kuitafuta PASSPORT yake ya kusafiria ikae sawa. tena atembee nayo mfukoni, SHWAIN
 
Zoezi litakuwa kama ifuatavyo,mwana dada anaitwa anna ataenda ofisini kwa shubash patel na hapo atakutana na mtu anaitwa abou,huyo atamkabidhi huo mzigo kati ya leo tar 25 au kesho tar 26 oct,amkeni watz ccm ni wezi na wnawakumbatia wezi
Tulishawazoea. Wanatuletea nguo za kulalia!
 
ilinishitua nilipoisikia hiyo habari kwa masikio yangu,hapo nikajua ni kwanini inakuwa ngumu kwa kikwete kusema neno ufisadi kwenye kampeni zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…