Shughuli bandari ya dsm za simama!!!!

Shughuli bandari ya dsm za simama!!!!

jcb

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2010
Posts
280
Reaction score
66
wana Jamii, Mchana huu Mh. Raisi J.K ameingia bandarini kukagua shughuli zina vyoendeshwa.
Wadau tunao shughulika humu ndani tumezuiwa kuingia, mageti yamefungwa kupisha ugeni huo.
Hivi storage watatudai au ndo tumeumia sijui uchumi wa nchi hii unaendeshwaje kwakweli nine kwazika sana leo
 
makamu wake si alikuwa hapo juzi juzi tu.. So wanaenda kufanya nn mara kwa mara?
 
He is making a follow up after 4 years in office..mmh kweli tuna kiongozi
 
Back
Top Bottom