Shughuli ya kuningizia kipato

stewartlions

New Member
Joined
Nov 17, 2017
Posts
2
Reaction score
0
Mimi kwa majina naitwa Stewart simba nipo mwanza pia ni mwanachuo ktk chuo cha afya tandabui {tihest) nasomea utabibu(clinical medicine )diploma . Lengo la kuandika ujumbe huu ni kwamba nahitaji ushauri wa mawazo juu ya nini nifanye niweze kujikwamua kiuchumi na ukiangalia chuoni tunajitegemea kwa kila kitu nilihitaji mawazo yenu ndugu zanguni nni nifanye hata kma ni msaada pia nakaribisha.
 
Hongeraaaa Kwa kuwa Na fikra mbadala Za kujikwamua na umasikini, mtaji vipi unao,,, ? Any way ni pm inbox
 
Ndio kawaida yao Hawa si ndo wale wazee wakupost magari makali huku wametingilia suti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…