Shughuli zote za Bunge zasitishwa rasmi. Kuanza rasmi tarehe 1/2/2022

Maombi hakuna tena ?


Toka maktaba :

03 January 2022
Dodoma, Tanzania

NDUGAI AITISHA MAOMBI, RAIS SAMIA SULUHU HASSAN MGENI RASMI DODOMA 29 JANUARY 2022


Spika wa Bunge la Muuungano wa Tanzania Mh.Job Ndugai alifanya mkutano na waandishi wa habari Januari 3 , 2022 katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma na kuwaalika pia waandishi wa habari wahudhurie siku hiyo maalum ya maombi 29 January 2022
 
Hii nchi hii.tunajijua wenyewe๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Duh!...kwani naibu wake hawezi kuongoza hii shughuli?
 
Huyu mzee mwenzangu akimaliza huu mwaka salama amshukuru sana Mungu, maana wana CCM wenzake (Kijani) wamemshambulia vilivyo namsisitiza sana awe makini tu katika mizunguko yake tusije sikia tu figo zimefeli mara ikatokea multiple organ failure then coma halafu kifo.

Namtakia kila la kheri katika mapumziko yake baada ya kuachana na muhimili ambao umekumbatiwa na nguvu ya uraisi.
 
Nchi hii shetani ndiyo anaijua kwa 100%.

Wakati bado watu wanajadili ubatili wa barua kujiuzulu ya Ndugai tayari bunge linasitisha shughuli zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ