Kwahiyo mkuu utahamia Ubelgiji kuendeleza uchawa kwa mwenyekiti mpya.Thubutu! huyo Hangaya kutwa kucha yuko Dar, hata chawa wote wako Dar
Swali lako si tu ni la kijinga bali pia ni la kipumbavuKwahiyo mkuu utahamia Ubelgiji kuendeleza uchawa kwa mwenyekiti mpya.
Sasa hivi machawa wa Chadema mmepanda viwango.Swali lako si tu ni la kijinga bali pia ni la kipumbavu
Mabilioni yanayo ibwa hayawezi kujenga mjumba ya kifahari dodoma na mahaoteli? ebu tuwazeni kwa kweledi basiKwa shughuli kama ya Kesho, Dodoma haina Capacity ya Kumanage hao delegates tena mostly ni VVIP kama Marais itachukua muda Kidogo Dom kupata huo uwezo