Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Mmoja Kati ya vijana mashujaa katika uokoaji kwenye ajali ya ghorofa iliyoporomoka, Nassoro amesema jana kabla ya kuangukiwa na tofali mkononi ambalo lilikatisha harakati zake alifanikiwa kuokoa watu wanne.
Pia, Soma: Live Updates Kuporomoka kwa Ghorofa Kariakoo Nov 16: Watu 7 wengine waokolewa
Pia, Soma: Live Updates Kuporomoka kwa Ghorofa Kariakoo Nov 16: Watu 7 wengine waokolewa