Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Ajira watapewa tattoo wao hao hawana vyetiHao vijana wakusanywe wapewe mafunZo zaidi
Waajiriwe jeshini kitengo cha uokoaji
Kama majaliwaHao vijana wakusanywe wapewe mafunZo zaidi
Waajiriwe jeshini kitengo cha uokoaji
Kama awaitaji wanataka waendelee na boashara zao?? Ila ni wazo zuriHao vijana wakusanywe wapewe mafunZo zaidi
Waajiriwe jeshini kitengo cha uokoaji
Yaaah la muhimu sana hili. Kijana unakuta kafanya kazi nzuri lakini umuite sasa afanyiwe vipimo unakutana na matattoo hata kufutika inashindikanaAjira watapewa tattoo wao hao hawana vyeti