GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Yanga Wameweka Rekodi Nyingine Kwa Kuahirisha Sherehe Za Miaka 80 Za Yanga Na Za Miaka 25 Ya Ubingwa. Zifuatazo Ni Sababu Zenyewe Na Naomba Mzisome au Mzipitie Kisha Mtanijibia Maswali Yangu Ya Kimantiki Yatakayofuata.
Baada Ya Kuziona Hizo Sababu Hapo Juu Naomba Tu Kuuliza Hivi Viongozi Wote Wakuu Wa Yanga Na Kamati Nzima Ya Maandalizi Ya Sherehe Hizo Hizo Sababu Zote Hawakuziona Muda Wote Wa Wiki 3 Zao Zilizopita Za Maandalizi Yao? Na Kwanini Msemaji Wao Jerry Muro Amekubali Kubebeshwa Mzigo Wa Kujiaibisha Tena Leo Mbele Ya Waandishi Wa Habari Kwa Kutoa Sababu Hizo 11 Ambazo Hazina " Mantiki " Na Zinazoitia Aibu Klabu Inayojiita Ya " Kimataifa? ".
Naombeni Maoni Yenu Na Naomba Kuwasilisha.
- Sherehe Zimehairishwa Kwakuwa Sasa Ni Mwezi Mtukufu Wa Ramadhan.
- Sherehe Zimehairishwa Kwakuwa Viongozi Wa Dini Wamezizuia Kwa Sababu Zao ( Hakuzitaja ).
- Sherehe Zimehairishwa Kwakuwa Wachezaji Wa Yanga Hawatakuwepo.
- Sherehe Zimehairishwa Kwakuwa Timu Ya Taifa Itakuwa Ugenini Inacheza Mchezo Wake Muhimu.
- Sherehe Zimehairishwa Kwakuwa Helicopter Iliyokuwa Itumike Imegoma Kutua Ardhini Kwa Siku Ya 3 Sasa.
- Sherehe Zimehairishwa Kwakuwa Viongozi Wakuu Wa Simba Hawajathibitisha Ushiriki Wao.
- Sherehe Zimehairishwa Kwakuwa Bado Hawajatimiza Adhma Yao Ya Kurudisha Zile Goli 5 -0 Walizofungwa.
- Sherehe Zimehairishwa Kwakuwa Watu Wa Hali Ya Hewa TMA Hawajawajibu Kama Mvua Itanyesha au La.
- Sherehe Zimehairishwa Kwakuwa Rais Kikwete Ratiba Zake Bado Zinawachanganya.
- Sherehe Zimehairishwa Kwakuwa Imebidi Waomboleze Kwanza Hamis Kiiza Kutua Kwa " Mnyama ".Simba.
- Sherehe Zimehairishwa Kwakuwa Bado Wanaendelea Kunyonya Maji Ya Mafuriko Yaliyotuama Klabuni.