Shuhudia Babu Seya Na Papii Kocha Wakitoka Jela

Hivi na yule aliyekua anaitwa MAUMBA aliendaga wapi maana hata yeye alihukumiwaga kwa kesi ya kulawiti!
 
Hivi angewanajisi watoto wako wewe ungemwonea huruma?.
 
Tamaa mbaya ye alijua atapewa vogue loool
sasa imekula kwake asee aibu sana
nadhani analima chumvi mtwara huko
hahahaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Bw. Mwita acha ubishi usio na maana ishu ya jamaa ni nzito, Bwana mkubwa mwenyewe ashawahi izungumzia naungana na aliyesema MWENYE NGUVU MPISHE
 
Kwani kuna nini? mnachokificha? Mbona mambo mengine hatufichani
 
Kuna kila harufu ya kesi ya kutunga hapa.
Kwenye nakala ya hukumu hii para imenipa utata mkubwa. Iweje mtoto alifumba macho na kufungwa kitambaa cheusi juu ya macho na bado akaona vizuri anayoelezea kutoka kwa dudu la mtuhumiwa?. Hiki kipengele pekee chaashiria ushahidi wote ulitungwa.

Gift went on to narrate what happened one day when she came from school. That unknown day and month Baby Seya/Sea called her and gave her soda. She called her into his room. He told her to close her eyes and she did. Then Babu Seya/Sea tied a black piec of cloth over her eyes. Babu Seya/Sea undressed her, put ointment on her private parts and “akamwingizia dudu lake na akamwambia anyonye Dudu Lake”. He had sexual intercourse and told her to suck his penis. She said his penis was emitting whitish things which he told her to swallow. “Dudu lake lilikuwa linatoa maziwa na wadudu wadogo wadogo akaniambia nimeze”.
 
Jaman hata kama aliingilia anga za wenye nguvu, bt issue ya kulawiti kwa muono wangu ipo palepale hakika angekuwa ni mtt mmoja tungesema amesngziwa lkn jaman walkuwa watoto wengi
 
Kwenu wadada wa JF,hebu jaribuni kuvaa uhusika,ungekuwa wewe ndo 'SALIMA',(mama mwenye nyumba),ungemshauri nini BABA MWENYE NYUMBA?
 
Nyie mnaojifanya mnamuonea huruma Babuseya, hivi mlishawahi kumtembelea hata siku moja huko gerezani? Acheni unafiki wenu wa kujikosha hapa ilihali hamna utu wowote.
 
Hivi na yule aliyekua anaitwa MAUMBA aliendaga wapi maana hata yeye alihukumiwaga kwa kesi ya kulawiti!
kweli jf kiboko yao.yaan huyu MAUMBA nilimsikia akiimbwa na mwana bongo f.a Saleh jabri akisema:SITAPENDA WENGI KAMA MAUMBA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…