Shuhudia Babu Seya Na Papii Kocha Wakitoka Jela

hivi mdau umesema tusikilize huo wimbo kujua the real issue je huo wimbo unaitwa SALIMA au SALMA. nipo crossroad hapa
 
Kwa wanapenda kujua kilichotokea na kesi ilivyokuwa, hii hapa ni Hukumu ya Babu seya. Nawasilisha. Judge for yourself.

safi sana mazee manake umeondoa manung'uniko na hearsay zote za mtaani.Ukisoma hii hukumu,unaona kabisa it was nonsense to give Babu Seya a benefit of doubt.Kifupi he got what he wanted!
 


Umesoma hukumu mpaka mwisho lakini?au nyie ndiye dizaini mnasainii mikataba hotelini baada ya kusoma heading tu?
 
shame on u akili unazo au vipi kama una njaa kale nini amabacho hata macho yako hakiwezi kuona ,Conquest-aibu baba yako likimtoka taulo hadharani
 
Umesoma hukumu mpaka mwisho lakini?au nyie ndiye dizaini mnasainii mikataba hotelini baada ya kusoma heading tu?

Ngumijiwe hayo nilonakilisha hapo ni sehemu ya hukumu yenyewe na siyo heading kama usemavyo. Kitendo cha hoja kama hiyo kuorodhodheshwa kama uthibitisho kuwa uhalifu ulikuwepo ndo kimenipa shaka kubwa.
Kama wameweza kuzusha hilo kisheria hoja nyingine nazo hule shaka.
 

Mkuu ndiyo mana nikasema ni bora ungesoma hiyo hukumu mpaka mwisho.Hicho kipengele kama ungeendelea kusoma ungeona jinsi kilivyofafanuliwa
 
kweli jf kiboko yao.yaan huyu MAUMBA nilimsikia akiimbwa na mwana bongo f.a Saleh jabri akisema:SITAPENDA WENGI KAMA MAUMBA.
nakumbuka nilimsikia mwaka 1993 na nilisikia alikua ameshakufa.
 
mbona sasa baadhi ya watoto hawakufanyiwa voire dire test? inaweza ikawa case ya kupika
 
shukran kwa hilo mkuu.
 
Hakuna haja ya kumuonea huruma mbakaji. Hivi angekuwa amefanyiwa mwanao ungefurahi? Hii adhabu nadhani haimtoshi, watu wa aina hii hutakiwa kunyongwa tu.
Uko sahihi mkuu, lakin nadhan ungejiuliza kwann watu wanamuonea huruma babu seya! Mm namfaham babu seya kabla hata hajapewa hyo kesi kwa sababu nilisoma na mwanaye wa mwisho ambaye sasa hivi yuko huru pamoja na kaka yake anayejulikana kwa jina la nguza mbangu! Namfaham vizuri babu seya! Hii kesi ilipikwa na na mkuu wako wa kaya kwa taarifa yako! Ndo maana hata katika ile rufaa ya mwaka jana wakati inasomwa, Mabere Marando ambaye alikuwa wakili wao pamoja na ushahid aliouwasilisha pale alisema 'this is a cooked case', na akajaribu kufafanua! Cha ajabu hakimu wala hakuuliza ni mtu gani ambaye wao wanadhan aliipika ile kesi, unadhani ni kwa nin? Alikuwa anajua ile kesi ni ya nan....! Ila tunashukuru Mungu wawil wametoka, wamebaki mzee nguza na papii kocha! una swali mkuu?
 
Mkuu ndiyo mana nikasema ni bora ungesoma hiyo hukumu mpaka mwisho.Hicho kipengele kama ungeendelea kusoma ungeona jinsi kilivyofafanuliwa
wakuu ninatumai mimi na wengine tumepata mwanga kidogo.kama unaweza naomba uifungue hiyo hukum kisha uiweke nasie tuisome.maana hapa natumia simu.
 
safi sana mwana jf nikiokota hiki na kile toka kwa wachangiaji najua mwisho kabisa nitakuwa nimeielwa.
 
Hakuna haja ya kumuonea huruma mbakaji. Hivi angekuwa amefanyiwa mwanao ungefurahi? Hii adhabu nadhani haimtoshi, watu wa aina hii hutakiwa kunyongwa tu.
ni kweli kabisa mkuu,wabakaji hawafai,nasuport hata wachinjwe ila"WAWE KWELI WABAKAJI"
 
Hapa kuna mambo mawili na moja lazima ni sahihi(WALIBAKA au HAWAKUBAKA). Sasa KAMA hawakubaka ila wamesingiziwa kwa sababu yeyote ile, nawapa pole na kuwahurumia sana. LAKINI kama kweli walibaka watoto wa watu basi waozee huko huko jela
 
Nyie mnaojifanya mnamuonea huruma Babuseya, hivi mlishawahi kumtembelea hata siku moja huko gerezani? Acheni unafiki wenu wa kujikosha hapa ilihali hamna utu wowote.
Mimi hapa nimeshamtembelea sana kabla wale wanae wawili hawajaachiwa! Na kesi yake naijua A-Z!
 
namuonea sana huruma lakini hukujua alilokuwa anatenda. sijui ni imani za kichawi mhh. kwa sababu mchawi hutoa sharti ambalo anajua hutozubutu kulifanya. na ulitekeleza unapata shida. mfano kavunje nazi saa 6mchana ofisini, njia panda ukiwa uchi au kamnajisi mama yako utafanikiwa. mie naamini huyu jamaa alipewa sharti la kubaka watoto yeye na wanaye ili sauti zao ziwe nyororo kama za watoto wadogo wa kike wapate kuuza music yao. maskini kumbe hawakujua Mungu Wahurumie watu hawa one day wawe huru wameteseka vya kutosha na kujuta. Dunia hii Hujafa Hujaumbika. Yangu huruma tu wala siwabezi.
 
Hakuna haja ya kumuonea huruma mbakaji. Hivi angekuwa amefanyiwa mwanao ungefurahi? Hii adhabu nadhani haimtoshi, watu wa aina hii hutakiwa kunyongwa tu.

kaka unauhakika ni mbakaji? mbona mafisadi kesi zao zinaisha kiaina?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…