Shuhudia harusi ya Semenya, Mwanariadha wa kike bingwa mita 800 mwenye tuhuma za "jinsia mbili"

Shuhudia harusi ya Semenya, Mwanariadha wa kike bingwa mita 800 mwenye tuhuma za "jinsia mbili"

barafu

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2013
Posts
6,739
Reaction score
32,880
image.jpeg
image.jpeg


Je, uliona harusi ya Semenya?

Hivi ndivyo mshindi wa mbio za mita 800 kwenye mashindano ya Olimpiki ya mwaka huu Caster Semenya alivyofanya harusi yake na mpenzi wake Violet Raseboya mwezi Desemba mwaka jana (2015).
Kwa mujibu wa ripoti za SA Fame Awards, bingwa huyu wa olimpiki alifunga pingu za maisha katika eneo la Ga-Dikgale, wilaya ya Limpopo..

Caster Semenya amekuwa akilalamikiwa kuwa anaweza kuwa na "jinsia mbili" na hili lilizuwa mzozo mara baada ya mashindano ya Olympic 2008 kule Beijing.Mwaka huu huko "Rio2016 Olympic" Semenya alishinda mbio za mita 800 za wanawake akifuatiwa na mwanamke toka Burundi,mwanariadha wa Uingereza katika mbio hizo amelalamika kuwa siyo haki wao kama wanawake kuweka kundi moja na Semenya ambaye sio "Mwanamke Kamili".

Je hali hii ya Semenya "kuoa" inafanya zile tetesi za kuonyesha ana "uanaume" kuliko "uanamke" zitapata nguvu?

??
image.jpeg
image.jpeg
image.jpeg
image.jpeg
image.jpeg
 
Si mmesema ni mwanamke huyo mbona kaoa mwanamke tena au sijawaelewaa
 
Duuuh,I heard wanataka watoe ambiguous persons km Caster mana wanaweza kuwa na added advantage over other women
U should hear Trevor Noah joking about her...hahaha
 
Ni mwanamke ndio,lakini ndio wale "Tom boys" kama kina Salama....Hana hamu na wanaume sbb anajiona kama mwanamke tu
Si mmesema ni mwanamke huyo mbona kaoa mwanamke tena au sijawaelewaa
 
Kabisa, yani na hapo kwenye hizo picha zinazodaiwa kuwa za harusi ndio vituko kabisaaa
Anajicontradict sasa huku anaoa kama mwanaume kule anashiriki Olympics kama mwanamke, tumueleweje
 
Hana matiti kakomaa miguu sura ya kiume nini maana yake sasa si bora aseme yeye ni mwanaumw kieleweke
 
Back
Top Bottom