Shujaa Magufuli alishatuandaa kukabiliana na Mikwara ya Rais Trump wa USA na msaidizi wake Elon Musk

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Kwa namna Shujaa Magufuli alivyotuandaa Kupambana katika Mazingira magumu ya Africa kutengwa na Wazungu huyu Trump na mikwara yake tutakabiliana naye kiulalo ulalo 🐼

Trump anafuta mikataba ya misaada kila siku na Jirani zetu Kenya wameshakiri kuwa watakuwa na Hali Ngumu sana

RIP Shujaa Magufuli
 
Hamuwez kukabiliana na america, nyie endeleeni kuvimbiana ligi ndogo. jpm alijaribu kuwaandaa lakini hamkusikia, baada ya kundoka kwake mkarudi kuomba misaada kwanspeed ya 5g, tena kwa kujitapa

Namna pekee ya kumkabili mwenye uwezo zaidi yako ni kuwa na zaidi yake. Otherwise utahisi unaonewa
 
"Iyeeeena iyeeeena iyeeena iyeeeeena iyeeeeena iyeeeeena ccm nambari wani"
 
AlikuaKwa namna Shujaa Magufuli alivyotuandaa Kupambana katika Mazingira magumu ya Africa kutengwa na Wazungu huyu Trump na mikwara yake tutakabiliana naye kiulalo ulalo 🐼

Trump anafuta mikataba ya misaada kila siku na Jirani zetu Kenya wameshakiri kuwa watakuwa na Hali Ngumu sana

RIP Shujaa Magufuli
Alikuandaa wewe na msma yako labda. Mi najua alikuwa muuji tu. Anayetuandaa vyema kutumia fikra zetu kwa uhuru ni Samia. Hiwezi kumuandaa mtu umemfungia kavatini asifurukute kwa lolote. Ni kumuua kifikra na kiuchumi pia
 
Kwa namna Shujaa Magufuli alivyotuandaa Kupambana katika Mazingira magumu ya Africa kutengwa na Wazungu huyu Trump na mikwara yake tutakabiliana naye kiulalo ulalo 🐼

Trump anafuta mikataba ya misaada kila siku na Jirani zetu Kenya wameshakiri kuwa watakuwa na Hali Ngumu sana

RIP Shujaa Magufuli
Huyo Magufuli ushujaa wake nini, kumbangua Ben Saanane risasi ya kichwa ikulu kwa kumwambia kweli kuwa degree zake za kubumba?
 
Alikuandaa wewe na msma yako labda. Mi najua alikuwa muuji tu. Anayetuandaa vyema kutumia fikra zetu kwa uhuru ni Samia. Hiwezi kumuandaa mtu umemfungia kavatini asifurukute kwa lolote. Ni kumuua kifikra na kiuchumi pia
Au ww ulitaka uandaliwe ukojoe uridhike
 
Yes, alituandaa tuwe na mentality ya kujitegemea kiuchumi. Mikakati yake ililenga kulikomboa taifa hili kwenye sekta karibu zote kama elimu, maji, afya, miundombinu, kuchapa kazi.

Wanazungumzia leo Afrika tuwe na umeme wa kujitosheleza yeye alianza kujenga miundombinu ya nishati 2016.
 
Acha kutudanganya , huyo Magufuli ndio alianzisha uongo na sifa zisizostahili wakati wa awamu yake.

Nchi ilikuwa inachukua mikopo kufadhili miradi ila yeye anadanganya watu ni fedha za ndani.

Mashirika yalijikamua kutoa gawio feki huku yanaingiza hasara baada ya ripoti ya CAG kutoka.
 
Back
Top Bottom