johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hamuwez kukabiliana na america, nyie endeleeni kuvimbiana ligi ndogo. jpm alijaribu kuwaandaa lakini hamkusikia, baada ya kundoka kwake mkarudi kuomba misaada kwanspeed ya 5g, tena kwa kujitapaKwa namna Shujaa Magufuli alivyotuandaa Kupambana katika Mazingira magumu ya Africa kutengwa na Wazungu huyu Trump na mikwara yake tutakabiliana naye kiulalo ulalo 🐼
Trump anafuta mikataba ya misaada kila siku na Jirani zetu Kenya wameshakiri kuwa watakuwa na Hali Ngumu sana
RIP Shujaa Magufuli
Alikuandaa wewe na msma yako labda. Mi najua alikuwa muuji tu. Anayetuandaa vyema kutumia fikra zetu kwa uhuru ni Samia. Hiwezi kumuandaa mtu umemfungia kavatini asifurukute kwa lolote. Ni kumuua kifikra na kiuchumi piaAlikuaKwa namna Shujaa Magufuli alivyotuandaa Kupambana katika Mazingira magumu ya Africa kutengwa na Wazungu huyu Trump na mikwara yake tutakabiliana naye kiulalo ulalo 🐼
Trump anafuta mikataba ya misaada kila siku na Jirani zetu Kenya wameshakiri kuwa watakuwa na Hali Ngumu sana
RIP Shujaa Magufuli
Huyo Magufuli ushujaa wake nini, kumbangua Ben Saanane risasi ya kichwa ikulu kwa kumwambia kweli kuwa degree zake za kubumba?Kwa namna Shujaa Magufuli alivyotuandaa Kupambana katika Mazingira magumu ya Africa kutengwa na Wazungu huyu Trump na mikwara yake tutakabiliana naye kiulalo ulalo 🐼
Trump anafuta mikataba ya misaada kila siku na Jirani zetu Kenya wameshakiri kuwa watakuwa na Hali Ngumu sana
RIP Shujaa Magufuli
Nenda mahakamaniHuyo Magufuli ushujaa wake nini, kumbangua Ben Saanane risasi ya kichwa ikulu kwa kumwambia kweli kuwa degree zake za kubumba?
Au ww ulitaka uandaliwe ukojoe uridhikeAlikuandaa wewe na msma yako labda. Mi najua alikuwa muuji tu. Anayetuandaa vyema kutumia fikra zetu kwa uhuru ni Samia. Hiwezi kumuandaa mtu umemfungia kavatini asifurukute kwa lolote. Ni kumuua kifikra na kiuchumi pia
Mahakama za CCM zinazowanyima hata dhamana wapinzani wa CCM au kuna mahakama nyingine?Nenda mahakamani