Shujaa Magufuli amelala juu ya Jiwe Mlimani akitafakari Jinsi alivyojitoa Sadaka kwa ajili ya Watanzania!

Shujaa Magufuli amelala juu ya Jiwe Mlimani akitafakari Jinsi alivyojitoa Sadaka kwa ajili ya Watanzania!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Kila nikiangalia hii picha ya Shujaa Magufuli akiwa amelala juu ya jiwe kubwa mlimani, nasema moyoni " Mungu wa mbinguni ushukuriwe kwa Zawadi ya huyu Shujaa John Magufuli"

Rest in peace Shujaa Magufuli 🌹
magufuli-1-3.jpg
 
Shukurani sana kwa hii kumbu kumbu ya mwamba sana HAYATI JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI hakika africa na dunia ilitingishika machozi yanibubujika kila nirudiapo kuusikiliza mwimbo wa peter msechu umetuacha imara Mungu ampe pumziko la milele huko aliko!
 
Kila nikiangalia hii picha ya Shujaa Magufuli akiwa amelala juu ya jiwe kubwa mlimani, nasema moyoni " Mungu wa mbinguni ushukuriwe kwa Zawadi ya huyu Shujaa John Magufuli"

Rest in peace Shujaa Magufuli 🌹View attachment 3101251
Dah hapa kweli tulipoteza raisi, tena sio tu wa Tanzania bali wa Africa na duniani kwa ujumla.

Rest In Peace Jemedari wetu na kiongozi wetu na muongoza njia wetu.
 
Kifo chake ni pigo kubwa sana Kwa Tz.Aliyerithi kaamua kuiharibu nchi.Utekaji umetamalaki Kila mahali na watu wanaogopa kutoka majumbani mwao
 
Kifo chake ni pigo kubwa sana Kwa Tz.Aliyerithi kaamua kuiharibu nchi.Utekaji umetamalaki Kila mahali na watu wanaogopa kutoka majumbani mwao
Kwamba raia hawatembei tena vifua mbele
 
"Mimi ndo raisi uchaguzi umeisha"
Nyani tuwalipe mishahara afu untangaze mpinzani mtakiona cha mtema kuna one of the worst president kutokea alikua kama mtu ambae hajaelemika kutwa kujiliza liza mniombe as if hili taifa lina laaana
 
Back
Top Bottom