johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Linaombwa tofali saidia fundi analeta mbao ๐๐Wajenzi wa mnara wa babeli!
Hii ni Hatar sana. Kama Chaguzi zinazoandaliwa na CHADEMA zinaingiliwa na CCM, Je Hali itakuwaje kwenye chaguzi zinazoandliwa na kusimamiwa na mtu aliyeteuliwa na Mwenyekiti wa CCM?Wakati Ule ilidaiwa Shujaa Magufuli anahinga wanachama wa Chadema Ili waunge juhudi
Leo tunaambiwa CCM inawaingilia Chadema kwenye Chaguzi za Ndani Ili kuwafubaza kama walivyoingilia Uteuzi wa Wabunge wa COVID 19 Ili KUWAFUBAZA
Ndio tunajiuliza je ni Shujaa Magufuli kafufuka na kumtokea Abood ama?!๐ผ๐ผ
Jumaa Mubarak ๐
Huenda Chadema wanazusha tu unajua Sugu kamkaba vibaya mchungaji Msigwa ambaye alikuwa ni Mlinzi wa Tundu Lisu Nairobi hospitalHii ni Hatar sana. Kama Chaguzi zinazoandaliwa na CHADEMA zinaingiliwa na CCM, Je Hali itakuwaje kwenye chaguzi zinazoandliwa na kusimamiwa na mtu aliyeteuliwa na Mwenyekiti wa CCM?
Urongo mtupu! Pesa ni ChairWakati Ule ilidaiwa Shujaa Magufuli anahinga wanachama wa Chadema Ili waunge juhudi
Leo tunaambiwa CCM inawaingilia Chadema kwenye Chaguzi za Ndani Ili kuwafubaza kama walivyoingilia Uteuzi wa Wabunge wa COVID 19 Ili KUWAFUBAZA
Ndio tunajiuliza je ni Shujaa Magufuli kafufuka na kumtokea Abood ama?!๐ผ๐ผ
Jumaa Mubarak ๐
Hayo mambo kama CCM wameendelea nayo basi wameona ni mazuri ๐ผMagufuli ameacha madhara makubwa sana kwenye system ya uongozi
Kuna mambo aliyointroduce Magufuli hayajaachwa ccm yameona yanafaa kwenda nayo
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Ni Uhuru wako kumuita Magufuli shujaa, lakini kwa wengine tunashidwa kuelewa ushujaa wa Magufuli unatoka wapi. Ni chama kipi kisichokuwa na matatizo ktk chaguzi zake?Wakati Ule ilidaiwa Shujaa Magufuli anahinga wanachama wa Chadema Ili waunge juhudi
Leo tunaambiwa CCM inawaingilia Chadema kwenye Chaguzi za Ndani Ili kuwafubaza kama walivyoingilia Uteuzi wa Wabunge wa COVID 19 Ili KUWAFUBAZA
Ndio tunajiuliza je ni Shujaa Magufuli kafufuka na kumtokea Abood ama?![emoji209][emoji209]
Jumaa Mubarak [emoji2]
Wachana na hao vichaa wanao lazimisha ushujaa wa kubumba eti shujaa Magufuli.Ni Uhuru wako kumuita Magufuli shujaa, lakini kwa wengine tunashidwa kuelewa ushujaa wa Magufuli unatoka wapi. Ni chama kipi kisichokuwa na matatizo ktk chaguzi zake?
Lissu ni jasiri kwa kukemea rushwa ndani ya Chadema. Ni Jambo la heri. Chadema inaogopeka na chama tawala, hivyo wanatumia kila aina ya njia kuchomeka mamruki kwa kutumia pesa. Hili si jambo geni kabla na baada ya Magufuli.....litaendelea kuwepo si kwa Chadema tu bali hata vyama vingine. Tofauti tu ni kwamba Magufuli alikuwa akinunua wapinzani waziwazi na waliokataa nguvu ya vitisho na risasi ilitumika.
Pole na Mafuriko we mmakonde ๐ผUkiona mtu unaandika mashudu kama haya basi jua na akili yake ipo kama mashudu
Kwani Covid 19 nao wamemfuata huyo Shujaa alipo? Wakimfuata chadema hawatalalamikaWakati Ule ilidaiwa Shujaa Magufuli anahinga wanachama wa Chadema Ili waunge juhudi