johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hivi kwa miaka 21 Mwamba Mbowe hakuna Kazi zinazoonekana alizofanya kwa manufaa ya Chama ama Nchi?
Kwanini msitumie hizo Kazi zake au mafanikio yake kama msingi wa kampeni na yeye akapumzika tu badala ya kuhangaika kwenye Studio kila asubuhi?
Afanye kama Shujaa Magufuli 2020 Hapa Kazi Tu
Au Mwamba hajafanya chochote kwa miaka 21?
Ahsanteni Sana 😂