johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kama unabisha endelea kubisha lakini juzi Kuhani Mussa kapokea Mchango wa Rais na kutoa baraka zake za kikuhani
CCM inatumia misingi ile ile iliyowekwa na Shujaa Magufuli na kwa Bahati nzuri this October hatutakuwa na Chadema
Ninachojua hakunaga mwanaccm atakayekubali kuachia Jimbo kama alivyofanya Kessy wa Namanyele Nkasi na Hawa Ghasia wa Mtwara Vijijini
Ubunge ni 100% kwa CCM Upande wa Tanganyika
Zanzibar ni Nchi ya kuumeni lazima watagawana Majimbo kule hakunaga Simbilisi
Nawatakia Sabato Njema 😄