Shujaa wa Jana

Shujaa wa Jana

Companero

Platinum Member
Joined
Jul 12, 2008
Posts
5,606
Reaction score
1,711
Tuliambiwa yeye ndiye mtu pekee mwenye viwango na uwezo wa kuendesha Bunge Maalum la Katiba.

Mitandao ikajaa sifa kemkem kuhusu aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji enzi za kubinafsisha mashirika yetu ya umma.

Akapigiwa sana kampeni mitandaoni Spika huyo wa zamani wa Bunge la Jamhuri ya Muungano enzi za mabomu ya EPA, MEREMETA na RICHMOND aliyewahi kusikika kwenye kipindi cha runinga akihoji vielelezo vya ufisadi vilivyowasilishwa bungeni na kudai atavipeleka polisi.

Nini kimewasibu mashabiki wake?

Shujaa wa jana iweje asiwe wa leo?

Kiko wapi?
 
Kuishi Tanzania ni sehemu ya maajabu
Kuwa Mtanzania ni sehemu ya maajabu
Kuyasikia ya Watanzania ni maarifa tosha.
 
Kuwa kiongozi wakati yahitaji uwe na roho ngumu.
Tanzania ni kama mtoto alieanza kuongea...kila kitu lazima ahoji..
 
Back
Top Bottom