Shujaa wetu wamuache apige hela za matangazo, Januari aende kambini

ubarinolutu

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2012
Posts
2,424
Reaction score
4,954
Sasa hivi shujaa wetu Majaliwa apewe muda apige pesa na matangazo ili sasa Januari aende kupiga kwata, si vema kumuwahisha sasa hivi.

Hata hivyo, nina wasiwasi na wale watu wa majeshi huko anapoenda watampiga mizinga sana.

Yote kwa yote, ufanyike mpango namba zake za simu ziwekwe na chimbo kinachoaminika Ili tumtolee chochote, lakini pia apewe elimi jinsi ya kuepukana na aastaa wa Bongo movie.
 
Naona jeshi limemuwahi kabla hajachukuliwa na WASAFI BET, duh.....!
Tungesikia yuko kwenye msafara wa Qatar.
 
Back
Top Bottom