ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Sanakibongo bongo hamna kinachoshindikana watu wanaenda na matukio tu
Naona jeshi limemuwahi kabla hajachukuliwa na WASAFI BET, duh.....!Sasa hivi shujaa wetu Majaliwa apewe muda apige pesa na matangazo ili sasa Januari aende kupiga kwata, si vema kumuwahisha sasa hivi.
Hata hivyo, nina wasiwasi na wale watu wa majeshi huko anapoenda watampiga mizinga sana.
Yote kwa yote, ufanyike mpango namba zake za simu ziwekwe na chimbo kinachoaminika Ili tumtolee chochote, lakini pia apewe elimi jinsi ya kuepukana na aastaa wa Bongo movie.
Funny fact.
Ha ha hasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji106]Naona jeshi limemuwahi kabla hajachukuliwa na WASAFI BET, duh.....!
Tungesikia yuko kwenye msafara wa Qatar.