INAUZWA Shuka nzuri mtumba grade 1

Hornet

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2013
Posts
26,486
Reaction score
51,156
Online bedsheet dealers....Karibu hapa upate shuka nzuri
7000-12000 kwa moja moja.
Foronya za mito aina zote,
Bei Inarange 2000-10000
Foronya za godoro
10000-2000
Na bedcover zenye mpira.
6000-10000
Kuna shuka pia zinabed cover za kufanana
Kuna shuka mbili na foronya pia.
Piga/SMS 0755155782 uletewe ulipo kwa dar
0714893685 Whatsap only.
*********************************************************
*********************************************************
SAMAHANINI KWA USUMBUFU WATEJA WANGU NILIKUA NA MAMBO BINAFSI NILIKUWA NAWEKA SAWA.
KWA SASA NIMEREJEA NA NAMBA ZA SIMU NI HIZO HAPO JUU.
NAPATIKANA BILA TATIZO NA MZIGO UPO WA KUTOSHA.
MLIOKUWA NA ORDER TAFADHALI MNITUMIE UJUMBE.
KARIBUNI TENA.
 
Je ni cotton??? Vp kuhusu picha zake mkuu.
 
Weka picha.
 
Material na ukubwa ,shuka za mchina 6x6 hazifitti vizuri kwenye godoro na pia zinapauka mnoo.
Watanzania mbona tunapenda sana vitu used/ mtumba?
 
Mzigo mpya unaingia jumatano jioni badala ya jumamosi,
Nitapost picha soon after
Karibuni my loyal customers.
 
shuka bomba zimefika,nyeupe ,rangi zote plain,mauamua,drafts za cotton nzito na nyepesi zimerudi tena,free delivery to my hon customers,
tafadhali tuwasiliane kupitia 0755155782
 
shuka bomba zimefika,nyeupe ,rangi zote plain,mauamua,drafts za cotton nzito na nyepesi zimerudi tena,free delivery to my hon customers,
tafadhali tuwasiliane kupitia 0755155782
Ongeza picha hizo mpya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…