F Flammable JF-Expert Member Joined May 1, 2013 Posts 872 Reaction score 103 Jul 2, 2013 #1 Habari wana jamvi!nawashukuru wote mlionisadia ktk kutatua tatizo langu.Nilikuwa nimeshindwa ku EDIT fakat zangu wakat wa kujaza tcu bt kupitia jf nimefanikiwa kufanya hivyo.WOTE WENYE BUSARA MUNGU AWABARIKI WOTE.Nimeamin jf ni zaid ya google
Habari wana jamvi!nawashukuru wote mlionisadia ktk kutatua tatizo langu.Nilikuwa nimeshindwa ku EDIT fakat zangu wakat wa kujaza tcu bt kupitia jf nimefanikiwa kufanya hivyo.WOTE WENYE BUSARA MUNGU AWABARIKI WOTE.Nimeamin jf ni zaid ya google
T Thema JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 301 Reaction score 64 Jul 3, 2013 #2 Hebu tueleze umefanyaje fanyaje ktk kutatua tatizo lako.
AdvocateFi JF-Expert Member Joined Jan 15, 2012 Posts 11,492 Reaction score 5,047 Jul 3, 2013 #3 Pamoja mkuu basi hata ukipata kamkopo utukumbuke kwenye ufalme wako japo kwa kavocha tu.
Mpigamsuli JF-Expert Member Joined May 24, 2012 Posts 3,885 Reaction score 582 Jul 3, 2013 #4 Mungu akusaidie na mambo yako