kwasasa tatizo langu la harufu mbaya kinywan limeisha baada ya kutafuna tangawiz kwa mwez sasa naona hili tatizo cpo nalo tena japokuwa nivigumu kujua kama unatokwa na harufu mbaya ila kwamim naona imekwisha kwasababu sahv kinywa changu cyo kikavu kama hapo awali na sasa nikichokonoa mabak ya chakula mdomon hayatoi tena harufu ukilinganisha na huko cku nyuma..je nikiendelea kutumia tangawiz kutakuwa na tatizo lolote...ahsante sana Mungu akubariki.
