Asante kwa kunipa Feedback ndio mimi ninavyotaka hivyo unaweza kuendelea kunywa chai ya Tangawizi ni dawa ya kila maradhi.kwasasa tatizo langu la harufu mbaya kinywan limeisha baada ya kutafuna tangawiz kwa mwez sasa naona hili tatizo cpo nalo tena japokuwa nivigumu kujua kama unatokwa na harufu mbaya ila kwamim naona imekwisha kwasababu sahv kinywa changu cyo kikavu kama hapo awali na sasa nikichokonoa mabak ya chakula mdomon hayatoi tena harufu ukilinganisha na huko cku nyuma..je nikiendelea kutumia tangawiz kutakuwa na tatizo lolote...ahsante sana Mungu akubariki.
Pole bibie kwani huo uja uzito ndio mara yako ya kwanza nini? huenda ni mimba ya mtoto wa kiume huyo anakuja na vituko vyake. Nenda kapime ili tupate kujuwa ni nini chanzo chake mimba yako inakusumbuwa ? pole sana.dah asante mzizimkavu kwani nina ujauzito na unanisumbua kweli
Asante bibie sisi wengine Tumeumbwa na Mwenyeezi Mungu kuja hapa duniani kuwasaidia wengine usijali sana ninaomba dua zako tu.Be blessed MziziMkavu
Nikipitia makala zako za ushaur hasa tiba najifunza mengi