Bilionea kid
JF-Expert Member
- Oct 19, 2018
- 581
- 519
"Nimeamua kuleta keki kama Shukrani yangu kwa #CloudsMediaGroup kwani kwangu inanigusa katika njia kuu tatu. .
.
.
1. Kama mwanafamilia ambaye ilinishika mkono toka nikiwa mdogo. .
.
.
2. Kama msanii ambaye iliweza kunishikiria na mpaka sasa ngoma zangu zimekuwa zikitawala sehemu nyingi kupitia #Clouds .
.
.
3. Kama mtoto ambaye nimelelewa na mchango mkubwa kutoka Clouds na hii inatokana na Baba yangu @captaintanzania kuwa mfanyakazi wa hapa" @malkiakaren
#Clouds19
#Shukrani2018