Bilionea kid
JF-Expert Member
- Oct 19, 2018
- 581
- 519
Wewe utakuwa mavoko ...aahh richard sema wcb wamekupotezea muelekeo mshikaji wangu,ila haina noma maisha ni kupambana kaza mwanangu utarudi kwa gemu kama kawa..
Hakuna noma mkuu ni story tu za mitandaoni,usi-mind...peace!Kwan hapo tatizo ni nini?
Sasa si useme wewe ni msanii gani???
SawaKingwendu
Hamna tatizoKwan hapo tatizo ni nini?
Ana wa kiume ila tayari ameshaoaHivi gadner hana mtoto mwingine zaidi ya Karen?
dah afu mtoto ukimtokea saiz anakwambia uko nyuma ulikuwa wapi#unv et tunmtaka kisa now kawa star #mungu anamuonakaren, malkia na nusuView attachment 957689
Hahahaaa..Kingwendu