A Anonymous Guest Sep 7, 2026 #1 Halmashauri ya Msalala wilaya ya Kahama tumelipwa posho ya kujikimu kwa 100%. Tunashukuru viongozi wa Halmashauri na OWM-TAMISEMI kufanikisha hili. Kazi iendelee!
Halmashauri ya Msalala wilaya ya Kahama tumelipwa posho ya kujikimu kwa 100%. Tunashukuru viongozi wa Halmashauri na OWM-TAMISEMI kufanikisha hili. Kazi iendelee!
Official planner JF-Expert Member Joined Feb 20, 2023 Posts 253 Reaction score 351 Sep 7, 2026 #2 Mngeweka na kiasi mlicholipwa tujue