Shukrani kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Tabora

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2020
Posts
2,833
Reaction score
1,301
Kwa niaba ya Wananchi wa Jimbo la Igunga, Ninatoa shukrani kwa Chama chetu CCM Mkoa wa Tabora kwa kutupa heshima Wana Igunga kuwa wenyeji wa maadhimisho ya Miaka 46 ya Kuzaliwa kwa Chama cha Mapinduzi (CCM).

Maadhimisho yamekuwa hamasa na chachu ya kufanya kazi kwa bidii katika kuleta maendeleo kwa Wananchi, kusimamia utekekelezaji wa Ilani ya CCM na Ujenzi wa Chama. "Imani uzaa, imani". KAZI IENDELE.


Nicholaus George Ngassa
Mbunge wa Jimbo la Igunga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…