Shukrani kwa jamii forum

Andimile

Member
Joined
Jun 16, 2013
Posts
76
Reaction score
14
Napenda kuishukuru jamiiiforums kwa kunisajili kuwa mwanachama,nilikuwa msomaji tu na nilikuwa na shauku kubwa ya kutoa mawazo yangu na kuchangia hoja mbalimbali zinazoletwa hapa.
 
Karibu hadi sebuleni, ila uwe na kifua tu

Mods, hamishia jukwaa la utambulisho.
 
karibu kubaliana na changamoto za humu, ila kabla hujapost elewa mada na u coment, si kukurupuka. ila narudia karibu sana ulimwengu wa ma great thinkers.
 
karibu kubaliana na changamoto za humu, ila kabla hujapost elewa mada na u coment, si kukurupuka. ila narudia karibu sana ulimwengu wa ma great thinkers.

Mfunge kamba mguuni maana huyu ni kuku mgeni!
 
Huyu mgeni vipi? Mbona tunamkaribisha ndani yeye kakaa nje?
 
Napenda kuishukuru jamiiiforums kwa kunisajili kuwa mwanachama,nilikuwa msomaji tu na nilikuwa na shauku kubwa ya kutoa mawazo yangu na kuchangia hoja mbalimbali zinazoletwa hapa.
Karibu na wala usiwajali wale wabaguzi ambao ipo siku watakuambia "mtu mwenyewe umejiunga juzi tu hapa, hata mwaka bado" wenzako huwa wanajibu hivi "mie nimo kitambo sema tu natumia ID zaidi ya moja!" Akikuambia nitajie mdada mmoja mwenye hoja tata mwenye uwezo wa kukisimamia anachokiamini, we taja tu; Faiza Foxy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…