Shukrani kwa JamiiForums

Kambiaso

Senior Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
145
Reaction score
120
Ni mwaka na miezi kadhaa nilikua mtaaani bila kazi ila kwa msaada mkubwa wa JF kupitia categori ya Kazi na Tenda nmeweza kuona job adds ambazo nyng nmekua nikituma na hatimaye nmefanikiwa kupata job baada ya kufanyiwa interview for accountant post kampuni ya Sao Hil Iringa June 29,nmeanza kazi this month,shukrani sana JF.
 
asante mungu akubariki ni wachache sana huja kutoa shukrani nakukumbuka fadhila
 
Mungu aliyekuwezesha hata ukafanikiwa............................awabariki na wengine.
 
Changia JF upewe premium membership...maneno matupu hayavunji mfupu.
 

Hongera mwanangu,ila usisahau kutuombea na sis kwa mungu tupate.
Kama kutatokea nafasi huko tutarifu ........kila laheri
 
hongera sana live long jf mm nasubiri chuo cha mipango
 
Kumbuka na kuichangia JF sasa, timiza wajibu wako sasa kwani ulivumiliwa wakati huna kitu
 

Tafuta Sredi ya Invisible akuelekeze jinsi ya kuichangia JF ili iendelee kutupa mambo mazuri! Hongera kwa kupata kazi,fanya kazi maana hizo kazi zenu mara nyingi watu wanaishiaga jela so be careful na epa and the like!
 
Last edited by a moderator:
Hongera sana,umepata pahala au mji mzuri to work,good climate,enough varieties,so komaa kwenye kazi yako tujenge njiii
 
All the best mkuu! Kumbuka kutimiza wajibu wako kazini!!!!
 
hongera sana mkuu,
fanya kazi kwa bidii, usiweke tamaa mbele
na "KUPIGA Panga"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…