Shukrani kwa JamiiForums

Hongera sana, ila usitosheke na ulichopata. Kila mwisho wa hatua moja ni mwanzo wa hatua nyingine; anza bidii nyingine tana ya kujenga rekodi ya mafanikio kusudi angalau siku moja ufikie kuwa mkuu wa kitengo.
 
Nitakurushia pm tuone jinsi gani tutafanya dili la kupeleka nguzo za umeme mombasa kisha tuzirudishe Tanzania na kuziauza kwa bei ya kurusha kama vile zimetoka South Africa. Unaonaje hilo dili?
 
Hongera mkuu,Mungu hutoa kwa kila mtu!!kila la kheri ktk kazi yako!!!!
 
mungu akubariki na sisi wa hombolo tanasubiria ila nazani jamaa wa utumishi wameshajiweka sawa
 
jamaa wa utumishi wameniita sehemu mbili on the some date hapa nimedata siuji niende wapi, ila nazani kwa sasa wako vizuri kidogo
 
hongera sana,, sasa uko kwenye system so kumbuka kutusaidia kwa channel na maombi na sisi uliotuacha mtaaani,, kazi njema ndugu,
 

Big up alot JF kwa msaada wenu kwani si huyo pekee tupo wengi ambao imetusaidi,kutufungua na kutupa changa moto, Mkuu Mungu amekufungulia njia komaaa...start 2 creat ur dreamz, Kuwa muaminifu na mchapa kazi kutengeza CV ili kila utakapokuwa unaomba ama kwenda uwe unang'ang'aniwa nakuonekana kama Almasi.
 
Hongera sana mkuu, ila mshukuru Mungu wako kwa kuwapa waanzilishi wa JF na kukufanikisha kupata kazi!
 
heri yako, na mie ntakuja kushukuru kabla ya huu mwez kuisha,
 
Umeuchinja kijana, hawa jamaa wanalipa vizuri sana na sio wababaishaji. Kazi njema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…