A ahoy Member Joined Mar 31, 2020 Posts 12 Reaction score 8 May 8, 2020 #1 Naomba nianze kwa kuwapongeza wana JF kwa kazi kubwa na nzuri ya kuhabarisha na kufundisha mambo mbalimbali yanayo gusa jamii Pia nikiri kwamba nimekuwa mnufaika wa taarifa na masuala mbalimbali yaliyomo humu JF Ahsanteni sana kuniunga humu.
Naomba nianze kwa kuwapongeza wana JF kwa kazi kubwa na nzuri ya kuhabarisha na kufundisha mambo mbalimbali yanayo gusa jamii Pia nikiri kwamba nimekuwa mnufaika wa taarifa na masuala mbalimbali yaliyomo humu JF Ahsanteni sana kuniunga humu.
Sirdirashy JF-Expert Member Joined Jan 26, 2014 Posts 3,243 Reaction score 3,047 May 9, 2020 #2 Id yako ya zaman inaitwaje anyway karibu Sent using Jamii Forums mobile app
kinjekitile70 JF-Expert Member Joined Oct 11, 2017 Posts 1,072 Reaction score 1,424 May 9, 2020 #3 Nini maana ya ID yakoo Sent using Jamii Forums mobile app
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 May 9, 2020 #4 Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT upate kufaidi.
kabanga JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,421 Reaction score 18,760 May 13, 2020 #5 Karibu.... Sent using Jamii Forums mobile app