Radio Producer
JF-Expert Member
- Feb 4, 2011
- 726
- 320
Baba kama unakumbuka ulinielekeza kufungua website kwa domain.co.cc na kuimask! duh nimekukubali! nipo hewani sasa! ila nimeamua iwe ya kikoffical tu iswe wikliks wataniua! Thnaks sana kikwetu WABEJA SANA!
karibu tena .in JF its all about sharing and giving knowledge . website inaitwaje ?
nimeicheki,umeanza vizuri,ukishaanza kupata pesa,mlipe professional akutengenezee kitu kizuri zaidi.or u can contact me when u r ready.trainning proposal yako inaeleweka though nakushauri uipost ktk forum ya wataalam wa lugha waipitie.
Msijali wakuu nitajihidi ndo imefanyiwa kazi kwa muda wa siku 3 tu! Then hata mimi sina education ya web designing just utundu tu! Nitaifanyia marekebisho soon na baada ya hapo nitawasiliana nawe mzalendo!Nakubaliana na wewe.
There is something about it that bothers my listening flow. Inawezekana ni sauti au like you said, mpangilio wa maneno na matamshi katika kila sentensi.
Mwanzo mzuri lakini.
Safi ndugu yangu usijali nitaifanyia matibabu!Nakubaliana na wewe.
There is something about it that bothers my listening flow. Inawezekana ni sauti au like you said, mpangilio wa maneno na matamshi katika kila sentensi.
Mwanzo mzuri lakini.
nimeicheki,umeanza vizuri,ukishaanza kupata pesa,mlipe professional akutengenezee kitu kizuri zaidi.or u can contact me when u r ready.trainning proposal yako inaeleweka though nakushauri uipost ktk forum ya wataalam wa lugha waipitie.
Msijali wakuu nitajihidi ndo imefanyiwa kazi kwa muda wa siku 3 tu! Then hata mimi sina education ya web designing just utundu tu! Nitaifanyia marekebisho soon na baada ya hapo nitawasiliana nawe mzalendo!
forum gani mkuu nielekeze niitupe humo!
Safi ndugu yangu usijali nitaifanyia matibabu!
Nakubaliana na wewe.
There is something about it that bothers my listening flow. Inawezekana ni sauti au like you said, mpangilio wa maneno na matamshi katika kila sentensi.
Mwanzo mzuri lakini.