Najua wengi mtaanza kujiuliza Huyu jamaa ni nani?? hamuwezi jua maana JF mlivutwa na ze duduz.
Senator ametoa mchango mkubwa sana katika ushauri wakati wa michakato ya uombaji wa vyuo na mikopo, kwa wadau wa Jukwaa la Elimu nadhani mnamfahamu, naanzisha uzi huu Kama shukrani kwake kwa kutusaidia wengi kwa namna moja ama nyingine!!
Thanks Mkuu SENATOR mungu akujalie.