Shukrani kwa Serikali

Nanren

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2009
Posts
3,135
Reaction score
3,392
Nimepokea mshahara siku nne zilizopita (kutoka serikalini)

Kwa kweli ninawiwa kuishukuru serikali yetu shupavu inayoongozwa na chama kikongwe. Mpaka sasa mshahara bado haujaisha na inawezekana ukanifikisha Ijumaa kuu.

Hongera sana viongozi wa chama na serikali.

Kusifia ni muhimu.
 
CCM oyeeee
 
HAhahaha

Sarcasm
 
Ni muhimu lakini weka na namba ya simu,wewe huoni wenzako wanasifia wanapewa vyeo unafikiri ni bure?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…