gkiwango
Member
- Oct 25, 2011
- 85
- 71
Mwanzoni mwa mwezi wa tano Vodacom ilizindua huduma ya Wajanja ambapo iliwawezesha wateja wa vodacom kupiga simu kwa Tsh 1/4 kwa sekunde usiku, SMS Tsh25 kuperuzi Facebook & Twitter BURE hadi 10Mb. Hii Ofa imesababisha mitandao mingine nayo kushusha gharama zao kulinda soko lao.
Baada ya cku kadhaa Airtel walijibu mapigo yao kwa kuitroduce huduma ya Supa 5 kwa gharama ya Tsh100, ikiwawezesha wateja wa Airtel kuperuzi facebook bure bila kikomo, kuongea 1/2 sh kwa wateja 3 wa Airtel na SMS Tsh30.
Tigo nao hawakuwa nyuma nao walizindua huduma ya Xtreme kwa Tsh450, Unapata dk 15 za kupiga tigo-tigo, sms 100 na 50Mb za kuperuzi internet.
Zantel uzalendo nao umewashinda wametangaza huduma ya Epiq Moto ambayo itabadilisha kabisa gharama za huduma za simu. Kwa Epiq moto wateja wa zantel wataweza kupiga mitandao yote kwa sh. 1 kwa sec saa 24 (Bei rahisi kuliko kupiga voda-voda au tigo-tigo, airtel-airtel bila ofa kuanzia saa 6pm-10pm), kuongea Bure zantel-zantel usiku, 50Mb bure na SMS kwa Tsh25.
Sasa hapo tusubiri tuone Huu ushindani wa kibiashara utaishia wapi. Dalili zinaonyesha ili kulinda masoko yao itabidi nao wafanye kupiga mitandao yote ni Tsh 1 kwa sekunde.