mwanachondogoro
Member
- Aug 27, 2013
- 40
- 8
niliwahi kupost humu ndani kuhusu mwanangu mwenye matatizo ya miguu na madaktari wwalikuwa wameshauri akatwe miguu lakini tunamshukuru Mungu kwa ushauri wenu tulimpeleka CCBRT amefanyiwa operation mara mbili na sasa anafanyiwa mazoezi ya kusimama na anajimudu vizuri kweli Mungu ni Mwema