Shukrani kwenu wana jukwaa la ujasiliamali/biashara

Shukrani kwenu wana jukwaa la ujasiliamali/biashara

NAXFRA

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2011
Posts
392
Reaction score
74
Napenda kutoa shukrani kwa wana janvi kwa nilichojifunza humu kwa muda mrefu na kufanikiwa kukamilisha kuandika kitabu cha ujasiliamali chenye kurasa 240.... kiitwacho "THE SECRET(S) OF SUCCESS IN ENTREPRENEURSHIP". Kitabu hiki kitakuwa hewani kuanzia wiki ijayo na ntawajuza. niliamua kutumia lugha ya kingereza kwa sababu zifuatazo:

1. upatikanaji wa rejea nyigi katika lugha ya kingereza
2. kuwafikia watu hata nje ya Tanzania
3. kutojitoshereza kwa vitabu/rejea za vitabu vya ujasiliamali katika elimu ya juu

Kwa atakae hitaji nakala laini au ngummu tumia naxfra@gmail.com

Pamoja katika kuelimishana.

 
mkuu si ungetililika moja kwa moja ya kwamba umekuja kukipigia debe kitabu chako?
 
Kama nahitaji kwa njia ya e mail ntakipata kwa bei gan?pls am serious I need it...
 
Back
Top Bottom