enoc seth
Member
- Feb 7, 2013
- 56
- 15
napenda kuwashukuru wale wote walioweza kuniunga mkono kwa namna moja au nyingine juu ya Mashati ninayotengeneza kwa vitenge,Mungu awabariki!bado naendelea kupokea order mbalimbali na wengine tayari walishapata mizigo yao,namba yangu ni 0686 87 18 87 whatsap,JF MPANGO MZIMA