Yanga nao watakuwa wa matopeni siku si nyingi
Aveva Je? nasikia mnataka kumtimua...Tangu aingie kwa kiti hajawahi kuwabeba kidedea.Sisi wana simba tunamkumbuka kwa uongozi wake thabiti uliosababisha kwenda msimu mzima bila kufungwa NYIE ndala mkumbukeni kama kiongozi wa simba aliyewapa TANO.
πππ Tano ziliwapa ubingwa? au ziliwapandisha ndege (nimenukuu tu hapo)Angerudisha TANO angekumbukwa, mtaendelea kumkumbuka Rage.
Una kumbukumbu fupi!πππ Tano ziliwapa ubingwa? au ziliwapandisha ndege (nimenukuu tu hapo)
Kanjughai kamwaga manyanga, sasa financially tutakuwa ktk same level playing field.uwezo wao ndio umefikia hapo tu! kumfunga yanga tu....