Jamani kama kawaida feedback ni muhimu. Nilisoma uzi juu ya maandazi ya hiriki humu basi leo nikaamua kufanya experiment. Nikanunua kila kitu huku hiriki kachupa bei mbaya sana.Hivi bongo kama sio usanii wa serikali tunao utajiri kibao.
Kwa uzoefu wa tuliopitia JKT yes ambao tulisota kiukweli sio kule tea vyeti nyumbani,nikatumia chupa ya wine kusukumia dough langu juu ya kaunta.
Andazi zimetoka Bomba sana na nyingine kupasuka kama skonzi,sijui nilizidisha nini hasa Ila hiriki kitu ingine bana,basi jioni nikajimwaga sehemu katika dinner na mameti wa kazini yakiwa bado ya moto moto.
Yamezingua kila mtu na nimepata mgeni ambaye kaomba Kuja hapa kwangu eti ili tupige soga na aone kama kweli nimepika live. Tumepita dukani na kanunua kila kitu. Hapa anafurahia konyagi ya bongo na coke,yapo yanaumukahuku tukiburudika kwa muziki wa kasaloo na kyanga songa aka fimbo kigoda.
Maandazi oyeee hapo ni mtu hapa kwa dalili hizi ��