Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,307
- 25,932
Hivi karibuni, humuhumu JF, niliandika kwa kuuliza: Kwanini mabasi ya mikoani 'yalazimishwe' kuingia kila stendi?.
Leo, asubuhi katika kipindi cha Power Breakfast, mtangazaji 'Bonge' alikuwa na mazungumzo na wadau wa usafirishaji kwa mabasi makubwa.
Hakika, wadau wanalalamikia kitendo cha mabasi ya mikoani kulazimishwa kuingia na kutoka kwenye kila stendi zilizopo wanapopitia.
Natoa shukrani zangu za dhati (awe alisoma humu au la) kwa Mtangazaji 'Bonge' kwa kuiongezea hoja yangu kwa jamii.
Ipo haja ya suala hili kutazamwa na kufanyiwa kazi kwa mustakabali mwema wa taifa letu