SHUKRANI!.....thank you JAMIIFORUMS

Afu wewe ndugu yangu ulianzaga vizuri sana hapa kwenye jamvi. Sijui nani alikubadilisha! Nilijua nimepata mfuasi kumbe ilikuwa nguvu ya soda?

Alianzaga vizuri?

Wakati mwenzio naona siku hizi ndo amekuwa mzuri- najiandaa kupeleka barua ya kumtaka urafiki!!
 
Babu
Katika shauri zooote ulizowahitoa hapa jamvini, hapa kwenye red umeniacha na kenua meno yangu yote 16!! Duh

Kipi kimekufurahisha hapo kajukuu kangu? Hutaki nikafaudu tena kale kamnyama au hutaki kijana wangu aoe tena inapobidi? Afu nlikuwa sijui kama una meno 16! Hahaha! BTW kitukuu changu hakijambo?
 
Babashka upo? Hujambo lakini? nimekumiso kweli yani.Si unajua najiandaa kuwa mheshimiwa mama mchungaji senior pastor.I hope utaniunga mkono.

As always. Ndo maana niliamua kumwaga mchumbangu ZD kwa ajili yako. Sijambo mamaa. Mic u too.
 
Kipi kimekufurahisha hapo kajukuu kangu? Hutaki nikafaudu tena kale kamnyama au hutaki kijana wangu aoe tena inapobidi? Afu nlikuwa sijui kama una meno 16! Hahaha! BTW kitukuu changu hakijambo?

Usimuombee aoe tena si ashaoa babu? Tafuta tafuta utaona kina kondoo wengine ambao hawajaoa bado- Uncle Fidel si bado?

Ndio mie mjukuu meno bado hayajakamilika babu. Kitukuu hakijambo vurugu tupu.
 
ipo tayari kaka

Nidhamu yako safi sana. Ukipita pale Usalule tafadhali nipeperushie salamu zangu kwa Eliza. Afu ntahitaji namba za simu za yule mtu wetu. Kizuri kula na nduguyo. Hahaha!
 
Usimuombee aoe tena si ashaoa babu? Tafuta tafuta utaona kina kondoo wengine ambao hawajaoa bado- Uncle Fidel si bado?

Ndio mie mjukuu meno bado hayajakamilika babu. Kitukuu hakijambo vurugu tupu.

Umesahau huyu kijana ni MDUMISHA MILA? Fidel kuoa labda ifanyike kampeni hapa JF. Tumkamate kwa nguvu tumpeleke madhabahuni akiwa kapigwa pingu kama ile ya Jerry Muro! Tatizo ni ATAMUOA YUPI kati ya wale?
 
umesahau huyu kijana ni mdumisha mila? Fidel kuoa labda ifanyike kampeni hapa jf. tumkamate kwa nguvu tumpeleke madhabahuni akiwa kapigwa pingu kama ile ya jerry muro! Tatizo ni atamuoa yupi kati ya wale?
.....hehehehe!πŸ˜€πŸ˜€
 
Kwa kweli nilikuwa nasubiri kwa hamu feedback ya hii kitu,na nilipoona kimya nikawa najiuliza what happened.Hongera sana mkuu,kwangu mimi hiyo ni hatua moja towards a real life.Pia nawapongeza wanaJF wote waliokuwa bega kwa bega nawe katika kulifanikisha hili.Wengine tulikuwa nawe kiroho zaidi.
 
You are welcome mpwa! Yote tuliyoyatenda tumeyatenda kwa ajili ya heshima na upendo wetu kwako na mkeo (mshiki). Kumbuka upendo, heshima na uvumilivu...utatuita tena kwa anniversary ya miaka 50 ya ndoa.

God bless
 
Geoff aksante kwa kusema aksante tupo pamoja kaka wala usikonde

Tunamkaribisha sana mshiki wake babu Chrispin ila aingie kwa jina lake la siri wewe usilijue ili ukimboa apate uhuru wa kuleta threads hapa tumpe ushauri.

Mpora:
Username yako iwe siri yako usimwambie Geoff!!
 
Hahaha! Usisahau, yake ni LOVE MARRIAGE!
 
You are welkam Mr and Mrs Geof. God bless you guys!
 
Dah! ZD? Kazi kweli kweli
 
Afu wewe ndugu yangu ulianzaga vizuri sana hapa kwenye jamvi. Sijui nani alikubadilisha! Nilijua nimepata mfuasi kumbe ilikuwa nguvu ya soda?

inakuwaje mpaka unanukuu post yangu bila kuonyesha kuwa unajali???????????????

hebu onyesha kwanza ndio nikujibu ....................... vinginevyo .......................
 
Nidhamu yako safi sana. Ukipita pale Usalule tafadhali nipeperushie salamu zangu kwa Eliza. Afu ntahitaji namba za simu za yule mtu wetu. Kizuri kula na nduguyo. Hahaha!

kaka we acha tu lazima nikushirikishe hivi ulifanikiwa kupata p..cha yake? mi ninayo hatimaye nilifanikiwa baada ya zoezi zito kilichobaki ni hiyo namba tu. eliza atafurahi huyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…