msimuonee kijana!mbona ndo kwanza yupo nusu ya TAIGA WUUDS
he, jamani umeshawajaribu macare yao?
manake juzi wamewafukuza wajapani wakitaka kutuwekea umeme wa maana, sasa sijui ndo wanavocare?
Homeboy.......... Nipo hapa. Am watching your steps!
mbuzi hausiani kabisa na majina!just pm mimi dhen nitakupa mwongozo...!na wala usifikirie mchango kwa sasa.michango ilikuwa ni kwa harusi AMBAYO IMESHAKWISHA!(ukinipa mchango sasa unataka nioe tena?😀)
Mi nasubiri kibali cha ushemeji,, sasa actually that will work on your favor..akikubali ushemeji si ndo amekukubali homeboy? hebu soma tena afu stuka! hahahahah😀
Hahahahahaaa,Pilars wadumisha mila Xpin,Kaizer,Geoff! yani i cant you nyie vijana.Ngoja nikawalie tize la baibo,katiba ya nchi na ilani ya chama afu ntakuja tena kuwahubiria.Naona kama nimeingia choo cha kiume vile.
ukiviunganisha hivyo utakuja na bonge moja la COCKTAIL😀Hahahahahaaa,Pilars wadumisha mila Xpin,Kaizer,Geoff! yani i cant you nyie vijana.Ngoja nikawalie tize la baibo,katiba ya nchi na ilani ya chama afu ntakuja tena kuwahubiria.Naona kama nimeingia choo cha kiume vile.
Kula tano umenena vema.It depends so muuuuuuuch with him(Xpin).Mi nasubiri kibali cha ushemeji,, sasa actually that will work on your favor..akikubali ushemeji si ndo amekukubali homeboy? hebu soma tena afu stuka! hahahahah😀
Kula tano umenena vema.It depends so muuuuuuuch with him(Xpin).
Btw nimekumiss kweli Kaizer.cjui nikutafute kwa Ankali au Kigangoni? afu na wewe nakuogopa kweli cku hizi,naona unakaribia kuchukua taji la kudumisha mila.
Kula tano umenena vema.It depends so muuuuuuuch with him(Xpin).
Btw nimekumiss kweli Kaizer.cjui nikutafute kwa Ankali au Kigangoni? afu na wewe nakuogopa kweli cku hizi,naona unakaribia kuchukua taji la kudumisha mila.
.....so no longer this weekend?naungana na wazo la baba-askofu kwamba we meet AFTER KWARESMA and all that!
....daah hakiyanani homu boi huchezi mbali na 18!Hongera sana kijana kwa uamuzi mzito uliochukua na sisi tunao jiexpress tutafuata nyao zako 2012 wakuu karibuni sana naomba Lisa unipigie pigie debe kwa huyo mtoto maana mpaka sasa bado sijapata kitu cha kumelemeta nacho 2012.
.....daaa homu boi naona within one week merieji imekupa mafanikio.....unanena kwa lugha kweli......! nimekupiga ya Ki-Sinkala i.e. Thanks, 2day,2morrow, next yr and forever!huku ndiko michongo ilipolala!utakaa na waifu 24/7 mtakula nini?mtakula I LOVE YOU?
Kijana hapo ndipo unaponifurahisha. Wafanyakazi TBL/SBL watapataje mishahara?
Je kina Eliza keep change watazipataje?
Nani atadumisha mila na kina Eliza kama tutakaa nyumbani 24/7?
....hakiyanani homu boi umeshukiwa na roho mtakafuti....aiseeee! kila sentensi ni pwenti tupu aiseeee...ENDELEA NAE TU!wanaume bana MAMA YAO NI MMOJA!-wote ni wale wale
HEHEHEHE!nitakupigia wewe....!hata hivyo wikiendi ukuje tu.....so no longer this weekend?
....daah hakiyanani homu boi huchezi mbali na 18!
.....daaa homu boi naona within one week merieji imekupa mafanikio.....unanena kwa lugha kweli......! nimekupiga ya Ki-Sinkala i.e. Thanks, 2day,2morrow, next yr and forever!
....daah mijitu ikienda vacation ikirudi inakuja na mipwenti acha kabisa......ngoja na mi nijibrekishe kidogo.....!
....hakiyanani homu boi umeshukiwa na roho mtakafuti....aiseeee! kila sentensi ni pwenti tupu aiseeee... !
HEHEHEHE!nitakupigia wewe....!hata hivyo wikiendi ukuje tu