Al-shabaab
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 1,791
- 619
Wana jf kwangu binafsi naishukuru sana kampuni ya Airtel kwa kunifanya nikajua selection yangu mapema
maoni yangu ni kuwa hata kwenye mkopo wa HESLB Wafanye kama walivyofanya kwenye selection.!
nini maoni yako juu ya hili...!!
nawasilisha
maoni yangu ni kuwa hata kwenye mkopo wa HESLB Wafanye kama walivyofanya kwenye selection.!
nini maoni yako juu ya hili...!!
nawasilisha