Shukrani za dhati.

Thomas Juma

Member
Joined
Nov 9, 2010
Posts
88
Reaction score
17
Napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa wale wote mlionisaidia ushauri pamoja na wale mlionisaidia link ya Riwa na Laura kuhusu haemorrhoids kwani nimefanyiwa operation alhamisi ya tarehe 16/06/011 na sasa naendelea vizuri japokuwa bado naendelea kuuguza kidonda.Jamani sina cha kuwapa ila napenda sana kusema ahsanteni sana kwa msaada wenu.
 

Pole sana Mr. Thomas Mungu akujalie upone kidonda upesi ili tuje tuendelee kuijenga Tanzania.
 
Pole sana mkuu TJ, Mwenyezi Mungu atakupa nafuu, upone haraka.
 
pole sana najua utakuwa na maumivu na ahsante kwa kutujulisha
 
Ugua pole! nawe umepewa adhabu ya kukalia maji ya chumvi?? Mie nshapona mwenzio.
 
moyo wa shukrani hauachi kubarikiwa..get well soon comrade.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…