SHUKRANI

SHUKRANI

MR Mufasa

New Member
Joined
Mar 2, 2018
Posts
4
Reaction score
1
Habari wana JF Mimi ni mgeni humu leo nimeingia kwa mara ya kwanza nashkuru kwa kua mwanafamily mpya .....pamoja na kushkuru naitaji mchango wa mawazo kwa wafanya kazi wazoefu wa biashara ya UBER Yaani madereva; soon natarajia kuchukua gari ya mkataba kwa kupeleka hesabu kwa boss ya tsh 30,000/=kila siku swali langu je naweza ipata iyo hela kwa kila siku na mm nikabakiwa na chochote? ahsanteni.
 
Back
Top Bottom